Ndugu Nyangusi Ndukai ex-Kimmage, anapenda kuwasiliana na watanzania wanaosoma kimmage manor. Ndugu Ndukai anatafuta vitu fulani hapo chuoni. Anaomba email zenu ili aweze kuwasiliana nanyi.
|
NJIA YA KUJIKWAMUA KUTOKA KWENYE UMASKINI INAPITA ULYANKULU.
-
Wanachama waliohitimu pamoja na familia zao kwenye mahafali ya Awamu ya
Pili, Mapigano, Ulyankulu, tarehe 21 Agosti 2026.
Mradi wa DREAMS Tanzania ulianz...
2 days ago
No comments:
Post a Comment