Wazalendo!
Kwa yeyote anayejua kampuni zinazosafirisha mizigo kwenda TZ tokea hapa Ireland, tunaomba maelezo. Kuna watu wengi wanahitaji kusafirisha mizigo kwenda TZ (kwa unafuu) lakini hawajui jinsi gani.
WAZIRI MKUU ATEMBELEA NA KUKAGUA TAASISI YA ELIMU YA USHIRIKA NA BIASHARA
KIZUMBI (KICoB)
-
*Muonekano wa jengo jipya la taaluma la Taasisi ya Elimu ya Ushirika na
Biashara Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga, lililokaguliwa na Waziri Mkuu,
Dkt. ...
6 hours ago