Wazalendo!
Kwa yeyote anayejua kampuni zinazosafirisha mizigo kwenda TZ tokea hapa Ireland, tunaomba maelezo. Kuna watu wengi wanahitaji kusafirisha mizigo kwenda TZ (kwa unafuu) lakini hawajui jinsi gani.
NJIA YA KUJIKWAMUA KUTOKA KWENYE UMASKINI INAPITA ULYANKULU.
-
Wanachama waliohitimu pamoja na familia zao kwenye mahafali ya Awamu ya
Pili, Mapigano, Ulyankulu, tarehe 21 Agosti 2026.
Mradi wa DREAMS Tanzania ulianz...
2 days ago